Isabel Sánchez Romero

Isabel Sánchez Romero (kwa jina la kitawa: Asunción de San José; 9 Mei 186117 Februari 1937) alikuwa mtawa wa Hispania wa Shirika la Wahubiri (Order of Preachers) aliyeuawa na waliochukia Ukristo [1][2]

Isabel Sánchez Romero

Alitangazwa na Papa Fransisko kuwa mwenye heri mfiadini tarehe 18 Juni 2022.

Marejeo

hariri
  1. "Blessed Isabel Sánchez Romero". Catholic Saints. 12 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Beata Ascensione di San Giusepppe (Isabella Sánchez Romero)". Santi e Beati. 15 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.