Isarito Mwakalindile

Isarito Mwakalindile ni msanii na muongozaji wa filamu na tamthilia nchini Tanzania[1]

Historia

hariri

Isarito Mwakalindile alianza sanaa ya uigizaji kanisani katika kipindi cha Sunday School hususani katika sikukuu za Krismasi na Pasaka ambapo alikuwa akiandaa igizo ambalo linatokana na andiko lolote kutoka katika Biblia[2]

Mnamo mwaka 2017 akiwa anaishi Mbagala Kilungule alianza rasmi kuingia katika sanaa ya uigizaji baada ya kujiunga na makundi mbalimbali ya uigizaji[3]

Filamu alizoshiriki

hariri
  1. Bunji[4][5]
  2. Jua Kali
  3. Mpango Mbaya
  4. Mlinzi
  5. Sheikha Issa
  6. Obambo[6]
mwaka waandaaji wa Tuzo Tuzo/Kipengele Kazi/Mpokeaji Matokeo
2021 Tanzania Film Festival Awards Muigizaji Bora wakiume Isarito Mwakalindile Ameshinda[7][8]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isarito Mwakalindile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.