Isla Saona

Isla Saona ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominika.

Kina eneo la kilometa mraba 110 na wakazi 500.

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Isla Saona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.