Italia Kaskazini
(Elekezwa kutoka Italia ya kaskazini)
Italia Kaskazini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Emilia-Romagna, Friuli-Venezia Giulia, Liguria, Lombardia, Piemonte, Trentino-Alto Adige, Valle d'Aosta na Veneto.
Kwa jumla ni km2 120,260 na wakazi 27,801,460[2] Ni asilimia 46 za wakazi wote wa Italia, lakini wanazalisha 59,4% za mapato yake.
Tanbihi
hariri- ↑ http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
- ↑ "Dato Istat al 30/11/2014". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-16. Iliwekwa mnamo 2017-03-07.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Italia Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |