Friuli-Venezia Giulia

Friuli-Venezia Giulia ni mkoa wa Italia wenye katiba ya pekee.

Mahali pa Friuli-Venezia Giulia katika Italia.

Uko upande wa kaskazini mashariki wa rasi ya Italia na unapakana na nchi jirani za Austria na Slovenia.

Mji mkuu wake ni Trieste.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri


 
Mikoa ya Italia
 
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Friuli-Venezia Giulia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.