Jacques Maghoma

Mchezaji mpira wa Kongo

Jacques Ilonda Maghoma (alizaliwa 23 Oktoba 1987) ni mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya michuano ya Uingereza Birmingham City na timu ya taifa ya Kongo.

Jacques Maghoma

Kazi ya klabu= hariri

Maghoma alianza kazi yake na klabu ya Tottenham Hotspur, na pia alicheza katika klabu ya Sheffield wednesday na Burton Albion, ambapo alikuwa akicheza katika msimu wa 2012-13.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacques Maghoma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.