Jade (Yu Shan) ni mlima wenye kimo cha m 3,952 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Jade

Uko Taiwan na ndio mrefu kuliko milima yote ya kisiwa hicho na cha Asia Mashariki kwa jumla.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jade kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.