James Daud Lembeli

James Daud Lembeli (amezaliwa 26 Desemba, 1956) alikuwa mbunge wa jimbo la Kahama katika bunge la kitaifa nchini Tanzania hadi mwaka 2015.[1]

Alitokea katika chama cha CCM akajiunga na CHADEMA.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu James Daud Lembeli". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje hariri