James A. Garfield

(Elekezwa kutoka James Garfield)

James Abram Garfield (19 Novemba 183119 Septemba 1881) alikuwa Rais wa 20 wa Marekani kwa miezi michache tu mwaka wa 1881 hadi kifo chake. Kaimu Rais wake alikuwa Chester Arthur aliyemfuata kama Rais.

James A. Garfield


Muda wa Utawala
Machi 4, 1881 – Septemba 19, 1881
Makamu wa Rais Chester A. Arthur
mtangulizi Rutherford B. Hayes
aliyemfuata Chester A. Arthur

tarehe ya kuzaliwa (1831-11-19)Novemba 19, 1831
Moreland Hills, Ohio, Marekani
tarehe ya kufa 19 Septemba 1881 (umri 49)
Elberon, New Jersey, Marekani
mahali pa kuzikiwa James A. Garfield Memorial
chama Republican
ndoa Lucretia Rudolph (m. 1858) «start: (1858-11-11)»"Marriage: Lucretia Rudolph to James A. Garfield" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/James_A._Garfield)
watoto 7
mhitimu wa Hiram College
Williams College (Bachelor of Arts)
signature

Tazamia pia hariri

}}

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James A. Garfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.