James Marcus Schuyler (9 Novemba 192312 Aprili 1991) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia 1947 aliishi nchini Italia alipofanya kazi kama msaidizi wa W. H. Auden. Mwaka wa 1969 aliandika riwaya “A Nest of Ninnies”pamoja na John Ashbery. Mwaka wa 1981 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Faili:James Schuyler.jpg
James Schuyler

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Schuyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.