Jamii za Kenya
Jamii za Kenya ni muhimu sana hasa katika: siasa, kazi za kiserikali, matibabu, elimu na katika kupeana kazi[1].
Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika.
Jamii hizo nchini Kenya zimegawanyika katika makabila takribani arubaini na tano ambazo zimegawanyika katika makundi matatu[2] :
Tanbihi
hariri- ↑ "Kenya is stuck in tribalism, and calls for national unity are all too often manipulative". D+C (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-27.
- ↑ "Focus on tribalism in Kenya". openDemocracy (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-27.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jamii za Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |