Jane Alexander (msanii)

Jane Alexander (alizaliwa 1959) ni mmoja wa wasanii maarufu nchini Afrika Kusini. [1] [2] Ni msanii wa kike anayejulikana sana kwa sanamu lake la The Butcher Boys . Anafanya kazi ya uchongaji, upigaji picha, na video. Alexander alivutiwa na tabia za wanadamu, migogoro katika historia, kumbukumbu za kitamaduni za unyanyasaji na ukosefu wa kuingiliana wakati wa ubaguzi wa rangi. [3] [4] [5] Kazi ya Alexander ni muhimu katika mazingira ya sasa ya kijamii ya Baada ya Ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini na nje ya nchi. [6] [4] [5] [7] [8] [1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Dent, Lisa (2012-08-03). "Global Context: Q+A with Jane Alexander". Art in America (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-11-06.
  2. Ceves, James (2020). "Top 15 South African Artists". South African News-website "Briefly.co.za". Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
  3. "A feature on an artist in the public eye Jane Alexander". Artthrob Contemporary Art in South Africa. 1999.
  4. 4.0 4.1 Bick, Tenley (Winter 2010). "Horror Histories: Apartheid and the Abject Body in the Work of Jane Alexander". African Arts. 43 (4): 30–41. doi:10.1162/afar.2010.43.4.30. JSTOR 29546103.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. 5.0 5.1 Subiros, Pep (Fall 2013). "Jane Alexander: Surveys (from the Cape of Good Hope)". Journal of Contemporary African Art. 33: 92–99.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Subiros, Pep; Kobena, van Robbroek; Lize, Njami; Simon, Jamal; Jane, Alexander (2011). Jane Alexander Surveys (from the Cape of Good Hope). New York: Museum for African Art and Actar. ku. 11–181. ISBN 978-0-945802-57-0.
  7. Tate. "Who is Jane Alexander?". Tate (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-11-06.
  8. Anonymous. "Jane Alexander". www.sahistory.org.za. Iliwekwa mnamo 2016-03-05.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Alexander (msanii) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.