Janet Harmon Waterford Bragg (24 Machi, 1907 - 11 Aprili 1993; Griffin, Georgia) alikuwa rubani anayeruka ndege. Alikuwa pia Mmarekani mweusi wa kike wa kwanza ambaye alikuwa na leseni ya rubani.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.