Jasmina Barhoumi

Mchezaji kandanda wa chama cha Ujerumani wa Tunisia

Jasmina Barhoumi (Kiarabu - ياسمين برهومي), alizaliwa Septemba 8, 2002) ni mchezaji wa soka wa Tunisia aliyezaliwa Ujerumani ambaye anacheza kama beki namba 2 kwenye ligi daraja la kwanza inayofahamika kwa jina la Frauen-Bundesliga kwenye klabu ya FFC 08 Niederkirchen pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

Viungo Vya NjeEdit

  1. مباراة تونس و لبنان للسيدات الشوط الأول (ar) (24 August 2021). Iliwekwa mnamo 24 August 2021.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jasmina Barhoumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.