JavaScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Brendan Eich na ilianzishwa 4 Desemba 1995. Leo tunatumia Javascript kusudi kuzijenga tovuti. Ilivutwa na Python.

JavaScript
Shina la studio namna :namna nyingi
Imeanzishwa Desemba 4 1995 (1995-12-04) (umri 28)
Mwanzilishi Brendan Eich
Ilivyo sasa Ilivutwa na: AWK[5], C, HyperTalk, Java[6], Lua, Perl, Python, Scheme, Self

Ilivuta: ActionScript, AtScript, CoffeeScript, Dart, JScript .NET, LiveScript, Objective-J, Opa, QML, Raku, TypeScript

Mahala Netscape Communications Corporation, Mozilla Foundation, Ecma International

Historia hariri

Ilianzishwa 4 Desemba 1995 katika Netscape. Kisha Ilitelekezwa katika Microsoft 1996.

Falsafa hariri

Namna ya JavaScript ni namna nyingi.

Sintaksia hariri

Sintaksia ya JavaScript ni rahisi sana.

Mifano ya JavaScript hariri

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu ! ».

consol.log("Jambo ulimwengu !");

Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.

function factorial(n) {
    if (n === 0)
        return 1; // 0! = 1

    return n * factorial(n - 1);
}

factorial(3); // returns 6

Marejeo hariri