19 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Oktoba ni siku ya 292 ya mwaka (ya 293 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 73.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1613 - Mtakatifu Karolo wa Sezze, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1669 - Mtakatifu Anjelo wa Acri, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1899 - Miguel Asturias, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967
- 1910 - Subrahmanyan Chandrasekhar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983
- 1916 - Jean Dausset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 1922 - Elsa Joubert, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Peter Tosh, mwanamuziki wa rege
- 1951 - Philly Lutaaya, mwanamuziki kutoka Uganda
- 1968 - Fresh Jumbe, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1972 - Pras, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1187 - Papa Urban III
- 1745 - Jonathan Swift, mwandishi
- 1856 - Said bin Sultani wa Maskat, Omani na Zanzibar
- 1937 - Ernest Rutherford, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908
- 1945 - Hatcher Hughes, mwandishi kutoka Marekani
- 1950 - Edna St. Vincent Millay, mshairi wa kike kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Brebeuf na wenzake, Paulo wa Msalaba, Nabii Yoeli, Tolomei, Lucho na mwenzao, Asteri wa Ostia, Sabiniani na Potensyani, Varo na wenzake, Etbini, Verano wa Cavaillon, Akwilino wa Evreux, Fridesvida, Filipo Howard, Luka Alonso, Mathayo Kohioye n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 7 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History[dead link]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |