Jem Godfrey

Jem Godfrey

Jeremy "Jem" Godfrey (alizaliwa 6 Oktoba 1971) ni mtayarishi wa nyimbo, mchezaji wa keyboard na mtunzi wa miziki kutoka Ufalme wa Muungano.

Jem Godfrey

Godfrey alihusika na ufanisi wa nyimbo nyingi kwa ushirikiano wa Bill Padley wa Wise Buddah, ikiwemo single ya Atomic Kitten "Whole Again", ambayo kibaki katika matuzo mawili ya Ivor Novello Award na Utayarishaji wa roleo la kimataifa "Kiss Kiss" ya Holly Valance.

Alishinda katika tuzo za Ivor Novello on 25 Mei 2006 kwa single iliyo na mauzo bora zaidi, "That's My Goal", kwa The X-Factor Shayne Ward[1].

"That's My Goal", ilitolewa nchini UK mnamo 21 Desemba 2005. Baada ya kuuza nakala 742,000 katika juma, ilikuwa ya Single bora zaidi ya Krismasi ya mwaka wa 2005. Ilishikilia nafasi ya juu kwa majuma manne na ikakaa kwa 75 bora hadi Juni 2006, ambazo ni wiki 21. Kwa wakati huo basi iliorodheshwa ya 4 ya mauzo ya kasi zaidi nchini UK ya wakati wote, ikishindwa na Candle In The Wind ya Elton John, "Anything Is Possible/Evergreen ya Will Young na "Unchained Melody" ya Gareth Gates ambazo zilikuwa na mauzo ya 685,000, 403,000 and 335,000 mtawalia katika siku zao za kwanza za mauzo. Kufikia leo, "That's My Goal" imeuza makala 1,080,000.

Mnamo 2004, Gdfrey aliunda kundi la “progressive rock " la Frost* ambao kufikia leo wametoa albamu mbili za studio na albamu moja ya Live.

Mnamo 2009, Godfrey alitangaza katika Frost* wakati wa majadiliano kuwa amechanga msaada wa keyboard Mbili kwa albamu ya Big Big Train, The The Underfall Yard.[2].

DiskografiaEdit

Mtunzi wa SingleEdit

Utunzi MwingineEdit

M0tayarishiEdit

 • Blue - All Rise (2002, Programming, Mcheza vyombo)
 • Ronan Keating - Destination (2002, Arranger, Mtayarishi, Mcheza Vyombo)
 • Disneymania (2002, Mtayarishi)
 • Atomic Kitten - Feels So Good (2002, Arranger, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Holly Valance - Footprints (2002, Arranger, Programming, mchezaji vyombo vingi, Mtayarishi, Kuchanganya)
 • Various Artists - Now Dance 2003 (2002, Mtayarishi)
 • Various Artists - Now, Vol. 53 (2002, Arranger, Mtayarishi)
 • Lulu - Together (2002, Arranger, Programming, Mtayarishi, Ucheza vyombo)
 • Atomic Kitten - Atomic Rooster (2003, Arranger, Keyboards, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Various Artists - Brit Awards 2003 (2003, Producer)
 • Atomic Kitten - Feels So Good (2003, Arranger, Programming, Mtayarishi, Uchezaji vyombo)
 • Gareth Gates - Go Your Own Way (2003, Mcheza vyombo)
 • Various Artists - Hit 56 (2003, Mtayarishi)
 • The Lizzie McGuire Movie Original Soundtrack (2003, Mtayarishi)
 • Various Artists - Now, Toleo la 54 (2003, Mtayarishi)
 • What a Girl Wants Original Soundtrack (2003, Mtayarishi, Kuchanganya)
 • Ronan Keating - 10 Years of Hits (2004, Arranger, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Blue - Best of Blue (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Play - Don't Stop the Music (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Gareth Gates - Go Your Own Way (2004, mtayarishi, Kuchanganya, Mcheza vyombo)
 • Atomic Kitten - Greatest Hits (2004, Arranger, Keyboards, Programming, Producer, Remixing, Instrumentation)
 • Lulu - Greatest Hits (2004, Arranger, Programming, Producer, Instrumentation)
 • Various Artists - Hip to Hip/Can You Feel It, Pt. 1 (2004, Arranger, Multi Instruments, Producer)
 • Various Artists - Hip to Hip/Can You Feel It, Pt. 2 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Various Artists - I Love 2 Party 2004 (2004, Mtayarishi)
 • Disney's Mega Movie Mix (2004, Mtayarishi)
 • Cherie - No. 1, Pt. 1 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Cherie - No. 1, Pt. 2 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Jennifer Ellison - Bye Bye Boy (2004, Mtayarishi, Kuchanganya, Mwanamuziki)
 • Blue - 4Ever Blue (2005, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Atomic Kitten - Access All Areas: Remixed and B-Sides (2005, Arranger, Keyboards, Programming, kuchanganya (Remix), Mtayarishi, Mcheza vyombo)
 • Various Artists - Handbag Handbag Handbag: The Soundtrack to the Perfect Girls' Night Out (2005, Mtayarishi)
 • Frost* - Milliontown (2005, Keyboards, Vocals, Mtayarishi)
 • Frost* - Experiments In Mass Appeal (2008, Keyboards, Vocals, Moose Whispering, Producer)
 • Frost* - Frost*Fest (2009, Keyboards, Vocals)

MarejeoEdit

 1. The 2006 Ivor Novello Awards. The Performing Right Society. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2006.
 2. Godfrey and Dunnery. frostmusic.net.

Viungo vya NjeEdit