Jenefer Shute

mwandishi wa riwaya

Jenefer Shute (alizaliwa Johannesburg, Afrika Kusini, 11 Julai 1956[1]) ni mwandishi wa riwaya nchini Afrika Kusini.[2]

Jenefer Shute
Amezaliwa 11 Julai 1956
Johannesburg,Afrika Kusini
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini

Maisha hariri

Kwa sasa anaishi Hudson, New York. Ana Shahada ya uzamivu ya Fasihi kutoka chuo kikuu cha University of California. Pia ni profesa katika chuo cha Hunter College kilichopo katika chuo kikuu cha City University of New York, Anafundisha programu ya uandishi wa kiubunifu (creative writing). Pia anafundisha Emerson College kilichopo Boston, University of Paris,[onesha uthibitisho] na University of Cape Town, alipopata shahada ya English. Kutoka mwaka 2012-2016, aliishi Cape Town na kufanya kazi kama mhariri wa hadithi za Penguin Random House, Afrika Kusini. [2][3]

Riwaya hariri

  • Life-Size (novel)|Life-Size (Houghton Mifflin, 1992)
  • Sex Crimes (Doubleday, 1996)
  • Free Fall (Secker & Warburg, 2002)
  • User I.D. (Houghton Mifflin, 2005)

Viungo vya njee hariri

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-04-13. 
  2. 2.0 2.1 "Jenefer Shute". jenefershute.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2018-01-08. 
  3. "About Jenefer Shute | Jenefer Shute". jenefershute.bookslive.co.za (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-22. Iliwekwa mnamo 2018-01-08.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenefer Shute kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.