Jenista Joakim Mhagama

mbunge kutoka Tanzania
(Elekezwa kutoka Jenista Mhagama)

Jenista Joakim Mhagama (amezaliwa 23 Juni 1967) ni mbunge wa jimbo la Peramiho katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Pia amekuwa Waziri katika serikali ya awamu ya tano[2] na ya sita vilevile.

Jenista kwa kabila ni Mngoni.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Jenista Joakim Mhagama (21 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. https://www.mwananchi.co.tz/nani-ni-nani-serikali-ya-jpm-jenista-mhagama/1596774-3039628-1234fil/index.html Gazeti la Mwananchi (Januari 19, 2016) Jenista Mhagama – Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu