Jenna Clark

Mwanasoka wa Uskoti

Jenna Clark (alizaliwa 29 Septemba 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL)[2][3] na timu ya taifa ya Uskoti. Amewahi kuzichezea Rangers na Glasgow City.[4]

Marejeo

hariri
  1. "Scottish Football Association", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-12-18, iliwekwa mnamo 2024-04-21
  2. "Liverpool sign Scotland's Clark on two-year deal", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-21
  3. "Liverpool FC Women complete signing of defender Jenna Clark - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2023-07-10. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
  4. https://www.soccerdonna.de/de/jenna-clark/leistungsdaten/spieler_36110.html
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenna Clark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.