Jerson Cabral
Jerson Cabral (alizaliwa Rotterdam, 3 Januari 1991) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Uholanzi na Cape Verde ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Levski Sofia.
Alicheza katika klabu ya Feyenoord, FC Twente, ADO Den Haag na Willem II kabla ya kwenda Bastia na Levski Sofia.
Bastia
haririWakati wa majira ya baridi 2016 Cabral alihamia nje ya nchi kwa uhamisho wa bure kwa upande wa Ufaransa katika klabu ya Bastia, lakini alikopwa na klabu ya Sparta katika dirisha la uhamisho la Januari 2017.
Levski Sofia
haririMnamo tarehe 12 Septemba 2017, Cabral alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Bulgaria Levski Sofia.
Viungo vya nje
hariri- Voetbal International profile Ilihifadhiwa 25 Februari 2016 kwenye Wayback Machine. (Kiholanzi)
- Netherlands U17 stats at OnsOranje
- Netherlands U19 stats at OnsOranje
- Netherlands U21 stats at OnsOranje
- Profile at Levskisofia.info Ilihifadhiwa 3 Septemba 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerson Cabral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |