Jesca Wilfredy

Mjasiriamali wa nchini Tanzania

Jesca Wilfredy Macha (maarufu kama Jesca Wilfredy; alizaliwa Arusha, Tanzania, mnamo tarehe 9 Septemba mwaka 1997 ni mwanamitindo, mfanyabiashara na mjasiriamali kutoka Tanzania[1][2].

Jesca Wilfredy
Amezaliwa Jesca Wilfredy Macha
9 Septemba 1997
Arusha, Tanzania
Jina lingine Macha
Kazi yake Mfanyabiashara
Amezaliwa Jesca Wilfredy Macha
Nchi Tanzania
Kazi yake Mfanyabiashara, Mjasiriamali


Jesca ni mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa shirika la Black Chagga Fashion. Jesca ametajwa kuwa mmoja wa watu mashuhuri wa mitandaoni na wafanyabiashara wenye umri mdogo na wenye ushawishi mkubwa kupitia mitandao ya kijamii katika kuhamasisha vijana wakike wenye umri mdogo katika shughuli za kimaendeleo.[3][4][5]

Maisha na elimu

hariri

Jesca amesoma na kumaliza elimu yake ya Maktaba na Sayansi ya Habari katika chuo cha Ushirika moshi[1].

Biashara

hariri

Baada ya kumaliza masomo yake ya Maktaba ya Sayansi ya Habari mnamo mwaka 2020, Jesca alikuwa akijihusisha na baishara ndogo ndogo za kuuza nguo na vipodozi kupitia duka la dada yake huko Moshi. Mwaka huo huo aliamua kwenda Arusha na kuanzisha biashara yake ya uuzaji wa nguo za kike na za kiume na ndipo safari yake ya ujasiriamli ilipoanzia. Licha ya kuanza biashara ya nguo na kufungua kampuni iitwayo Black Chagga Fashion, pia jesca alipata umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii katika kuhamasisha na kuwahiiza vijana wadogo wa kike katika kujikita zaidi katika ujasiariamali ili kuweza kujitegemea na kujikwamua katika umaskini. amekuwa mmoja wa wanawake wenye umri mdogo waliowezakutumia mitandao ya kijamii katika kuleta mabadiliko na kuinua wengine.[3][4] Jesca pia ni muwekezajazi katika sanaa ya muziki wa Tanzania.[6]


Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Murmures | Africultures : What you don't know about the success of a Tanzanian Socialite and entrepreneur Jesca Wilfredy". Africultures (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-05-24.
  2. Zadock Thomas (2021-05-26). "Jesca Wilfredy Biography, Age, Career, Education, Net Worth, Husband". The East African Feed (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  3. 3.0 3.1 "Mitandao ya kijamii yamtoa kimaisha". Mwananchi (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  4. 4.0 4.1 "Tanzanian Socialite and Entrepreneur Jesca Wilfredy Opens Up On How Popularity Has Changed Her Life - Opera News". ke.opera.news. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-24. Iliwekwa mnamo 2021-05-24.
  5. "Popular Tanzanian Socialite Jesca Wilfredy Makes Major Announcement On Music Industry - Opera News". ke.opera.news. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-24. Iliwekwa mnamo 2021-05-24.
  6. "SPLA | Tanzania's renowned entrepreneur and socilite Jesca Wilfredy Speaks about her interest in the music business". Spla (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-05-24.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesca Wilfredy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.