Jubek (jimbo)
(Elekezwa kutoka Jimbo la Jubek)
Jimbo la Jubek ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Jubek State | |
Mahali pa Jubek katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Juba |
Idadi ya kaunti | 14 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Augustino Jadalla Wani |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 492,970 |
Imegawanyika katika kaunti 14: Lodu County, Luri County, Mangala County, Gondokoro County, Rejaf County, Wonduruba County, Lobonok County, Bungu County, Ganji County (Ganzi County), Dollo County, Rokon County, Lyria County na Oponi County.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jubek (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |