Jiografia ya Palestina

Palestina ni nchi ya pekee upande wa jiografia, hasa upande wa mashariki, katika Bonde la Ufa unapotiririka mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.

Palestina kutoka angani, mwaka 2003.

Mipaka ya Palestina imebadilikabadilika katika historia.

Katika karne ya 5 KK Herodotus alipotaja Palaestina alifanya hivyo kwa maana tofauti kadiri ya mukhtada.[1]

Wapalestina wa leo wanataka mipaka yao iwe ile ya eneo lindwa lililokuwa chini ya Waingereza, yaani bila ya nchi ya Yordan, ng'ambo ya mto huo.[2]

Tanbihi

hariri
  1. Herodotus, The Histories Bk 7.89
  2. Ibrahim Abu-Lughod, "Territorially-based Nationalism and the Politics of Negation", p. 199. In Said and Hitchens, 2001.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jiografia ya Palestina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.