Jiografia

Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake.[1]

Ramani ya dunia.

Neno la Kiswahili jiografia linafuata matamshi ya Kiingereza ya neno la Kigiriki "γεωγραφία", geo-grafia kutoka "dunia" na graphein "kuandika". Lina maana ya "kuandika kuhusu Dunia". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi Eratosthenes (276-194 KK).

Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake. Maajabu yake ni vitu vinavyotokea kama vile maji kujaa na kupwa, upepo, na tetemeko la ardhi.

Nchi za AfrikaEdit

Afrika ya MasharikiEdit

Afrika ya KatiEdit

Afrika ya KaskaziniEdit

Afrika ya KusiniEdit

Afrika ya MagharibiEdit

Nchi za Amerika ya KaskaziniEdit

Nchi za Amerika ya KatiEdit

Nchi za baraniEdit

*(Meksiko mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati kwa sababu za kiutamaduni)

Nchi za visiwa vya KaribiEdit

Nchi za Amerika ya KusiniEdit

Nchi za AsiaEdit

Asia ya KatiEdit

Asia ya KaskaziniEdit

Asia ya MasharikiEdit

Asia ya Kusini-MasharikiEdit

Asia ya KusiniEdit

Asia ya MagharibiEdit

Bara ArabuEdit

Nchi za UlayaEdit

Nchi za OceaniaEdit

mfumo wa JuaEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Geography. The American Heritage Dictionary/ of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2006.
  2. Inatajwa kama "Zebaki" katika kamusi kadhaa, kwa kosa la kutafsiri upya jina la Kiingereza "Mercury" linalomaanisha metali na pia sayari, tofauti na Kiswahili
  3. inaitwa kwa kosa "Sumbula" katika vitabu vichache; lakini Sumbula ni jina la nyota ya en:Spica
  4. Katika vitabu vichache inaitwa "Saratani" au "Satani" kwa kosa; Saratani ni jina la kundinyota ya Cancer; inaonekana kuna kosa kutokana matamshi ya kienyeshi ya jina "Saturn"
  5. Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Zohali" ambalo ni jina la sayari inayoitwa kwa Kiingereza "Saturn"
  6. Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Kausi" ambalo ni jina la kundinyota inayoitwa kwa Kiingereza "Sagittarius"

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jiografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.