Joseph Anthony "Joe" Mantegna, Jr. (amezaliwa tar. 13 Novemba 1947) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Joe Mantegna

Joe Mantegna, mnamo 2014.
Amezaliwa Joseph Anthony Mantegna
13 Novemba 1947 (1947-11-13) (umri 76)
Chicago, Illinois, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1969-hadi leo
Ndoa Arlene Vrhel (1975)
Watoto 2
[joemantegna.com Tovuti rasmi]

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Mantegna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.