Joel Johnson (alizaliwa 20 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Liberia na klabu ya Charlotte Independence iliyopo Amerika ya kaskazini kama beki wa kulia.

Joel Johnson

Alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 17.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joel Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.