Johanna Rytting Kaneryd
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Uswidi
Anna Johanna Rytting Kaneryd (alizaliwa 12 Februari 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Uswidi.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ https://web.archive.org/web/20191104184834/http://www.fifadata.com/document/FU20W/2016/pdf/FU20W_2016_SquadLists.pdf
- ↑ "Johanna Rytting Kaneryd ansluter till Älta IF Dam". www.svenskalag.se (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
- ↑ https://www.fifa.com/fifaplus/de/tournaments/womens/womensworldcup/australia-new-zealand2023/scores-fixtures?intcmp=(p_fifaplus)_(d_)_(c_webheader-fwwc2023)_(sc_scoresandfixtures)_(ssc_)_(da_07072023)_(l_de)&country=DE&wtw-filter=ALL&stage=none&team=Schweden
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johanna Rytting Kaneryd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |