John Bidwell
John Bidwell (kwa Kihispania: Don Juan Bidwell, 5 Agosti 1819 – 4 Aprili 1900) alikuwa mhamiaji, mwanasiasa, na askari wa Marekani. Bidwell anajulikana kama mwasisi wa jiji la Chico, California.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Bidwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |