John Blaq
John Kasadha (anajulikana sana kama John Blaq 16 Julai 1996) ni msanii wa muziki wa Uganda, mwanamuziki na mburudishaji. Mtindo wake wa muziki ni dancehall na afrobeat . [1] [2] [3] [4]
Historia
haririMaisha ya awali na elimu
haririKasadha alisoma shule ya msingi ya Lwanda na shule ya msingi ya Hasan Tourabi ambapo alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi. [5] [6] Kati ya mwaka 2010-12, alijiunga na shule ya sekondari ya Bweyogerere, ambapo alipata cheti cha UCE na UACE mnamo 2016 na 2018. [7]
Kazi ya muziki
haririKasadha mnamo mwaka 2018 alianza na wimbo wake wa "Tukwatagane". [8] [9] Wimbo wa "Sweet Love" ilikuwa ni kolabo yake ya kwanza na Vinka, na ulitolewa mnamo Desemba, 2018. [10] [11] Tamasha yake ya kwanza ilifanyika Freedom City, Kampala tarehe 29 Novemba 2019. [12] [13]
Marejeo
hariri- ↑ "John Blaq". Spotify.
- ↑ "Featured Pulser: New kid on the Block "John Blaq"". MTN Pulse. Agosti 16, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Who is John Blaq: Biography, Profile and Life Story of Kashada John". 21 Machi 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "New Kid On The Block John Blaq Seals Multi-million Deal With Pepsi – Chano8". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
- ↑ Ndijjo, Martin (2019-05-17). "Bukedde Online - By'obadde tomanyi ku muyimbi John Blaq aliko akaco kano". Bukedde.co.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-13. Iliwekwa mnamo 2020-01-27.
- ↑ "Meet new kid on the block, John Blaq". Observer.ug. Iliwekwa mnamo 2020-01-27.
- ↑ "I am a very good rapper too – Blaq". 29 Novemba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Novemba 2019. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "TUKWATAGANE – JOHN BLAQ (Official Music Video)". 19 Septemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Fast rising star John Blaq acquires a new ride". 31 Machi 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "John Blaq and Vinka's 'Sweet Love' notches a million views". 11 Septemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "John Blaq Shuts Down Freedom City in His First Concert Dubbed AyaBas!". 30 Novemba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "John Blaq sends Freedom City into rupture in 'AyaBas' concert/". 30 Novemba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "John Blaq apologizes for disappointing fans – Nxt Radio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Blaq kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |