John Kennedy Toole
John Kennedy Toole (17 Desemba 1937 - 26 Machi 1969) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani.
Wakati wa maisha yake, riwaya zake hazijapokelewa hadharani. Kwa hiyo, na pamoja na kupatwa na unyogovu, Toole akajiua akiwa na umri wa miaka 31 tu.
Kumbe, mwaka wa 1981, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Confederacy of Dunces, iliyotolewa baada ya kifo chake tu.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Kennedy Toole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |