John Charles McDermott (alizaliwa 25 Machi 1955) ni tenor wa asili ya Uskoti na Kanada na mizizi ya Kiireland kutoka pande zote mbili za familia yake, anatokana na ukoo wa Kiireland wa McDermott kupitia baba yake, Peter McDermott, ambaye alihamia Uskoti kutoka Ireland.[1][2][3]

John McDermott

Marejeo

hariri
  1. "Boston Irish Tourism Association - Profile: John McDermott".
  2. "Title Here". Johnmcdermott.com.
  3. "'My home away from home'- Irish Tenor John McDermott Talks of His Roots and Family". Bostonirish.com. 2 Aprili 2011. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John McDermott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.