25 Machi

tarehe
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Machi ni siku ya 84 ya mwaka (ya 85 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 281.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Bikira Maria Kupashwa habari, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Dismas, Dula, Kwirino wa Roma, Matrona wa Thesalonike, Monasi, Ermelandi, Nikodemo wa Cirò, Prokopi wa Sazava, Margaret Clitherow, Lusia Filippini n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.