John O'Donohue (1 Januari 19564 Januari 2008) alikuwa mshairi, mwandishi, kasisi, na mwanafalsafa wa Hegel kutoka Ireland.[1]

Alikuwa mzungumzaji wa lugha ya asili ya Kiayalandi, na kama mwandishi, anajulikana zaidi kwa kueneza maarifa ya kiroho ya Kiselti.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Death of poet and philosopher O'Donoghue". RTÉ.ie News. 4 Januari 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "John O'Donohue (1954–2008): Our New Friend on the Other Side". Huffington Post. 9 Januari 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John O'Donohue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.