John Patrick (mwandishi)

John Patrick (17 Mei 19057 Novemba 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Teahouse of the August Moon.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Patrick (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.