Jordan Emanuel
Jordan Emanuel ni mwanamitindo, mwanahabari, pia mhisani na mwanzilishi wa shirika la Women With Voices[1]
Jordan Emanuel alizaliwa Baltimore Maryland na kukulia Basking Ridge New Jersey.[2]
Emanuel alipata shahada kutoka Chuo Kikuu cha Miami, katika masuala ya Uandishi wa Habari wa Matangazo, Biashara ya Muziki, na Historia ya Sanaa.
Marejeo
hariri- ↑ Coleman, Oli (Machi 10, 2020). "Playboy to end Playmate of the Year in favor of inclusivity". Page Six. NYP Holdings, Inc.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Playboy Models: Jordan Emanuel". www.playboy.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Aprili 29, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)