Joseph Addo
Mchezaji mpira wa miguu wa Ghana (aliyezaliwa 1992)
Joseph Addo (alizaliwa 12 Januari 1992 nchini Ghana) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye sasa anacheza katika klabu ya Ghana iitwayo Tamale City_F.C. kama kipa.
Addo alikuwa mwanachama wa timu ya soka ya chini ya miaka 17 ya Ghana mwaka 2007 katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 17 yaliyofanyika nchini Korea Kusini na alicheza michmechizo 7.
Mnamo tarehe 19 Agosti 2008 aliitwa katika klabu ya Satellites na pamoja na timu hiyo ilishinda Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 huko Misri.Na baadaye aliitwa hadi katika kikosi cha Ghana cha juu kwa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Misri mnamo Oktoba 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Addo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |