Joseph Kasheku Musukuma

Joseph Kasheku Musukuma ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Geita kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017