Joseph Michael Mkundi

Joseph Michael Mkundi ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa 2015 kuwa mbunge wa Ukerewe kwa chama cha kisiasa cha CHADEMA[1]. Katika Oktoba 2018 alijiuzulu katika uanachama wa Chadema na kuhamia chama cha CCM[2]. Amehitimu shahada ya utawala biashara kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. [1]MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Mbunge wa Chadema Ukerewe atimkia CCM, gazeti la Mwananchi Thursday October 11 2018