Jostein Gaarder
Jostein Gaarder (amezaliwa 8 Agosti 1952) ni mwandishi kutoka nchi ya Norwei. Alisoma falsafa, teolojia na masomo ya fasihi chuoni na kuwa mwalimu wa falsafa kabla hajajitegemea kama mwandishi. Ameandika hasa kwa watoto. Baadhi ya vitabu vyake ni:
- Ulimwengu wa Sofia (1991, kwa Kinorwei "Sofies verden")
- Siri ya Krismasi (1992, kwa Kinorwei "Julemysteriet")
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jostein Gaarder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |