Jouli

(Elekezwa kutoka Joule)

Jouli ni kizio cha upimaji wa nishati, kazi na joto.

Fomula yake ni nyutoni moja zidisha kwa mita moja (1 J = 1 N × 1 m = 1 W × s)

Maelezo yake ni kazi inayofanywa kama kani ya nyutoni moja inatumiwa kwa umbali wa mita moja.


Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jouli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.