Joyce Chepchumba

Mshindani wa riadha

Joyce Chepchumba (alizaliwa Kericho, 6 Novemba 1970) ni mwanariadha wa mbio ndefu nchini Kenya, ambaye alishinda medali ya shaba katika Mbio ya Marathoni katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2000.[1]

Joyce Chepchumba

Marejeo

hariri
  1. "Joyce Chepchumba".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joyce Chepchumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.