Just a Little Bit of You

"Just a Little Bit of You" ni jina la kutaja wimbo wa mwimbaji wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo unatoka katika albamu yake ya mwaka wa 1975, Forever, Michael. Hii ilikuwa albamu ya nne kutoka kwa Michael Jackson, ilitolewa akiwa na umri wa miaka 16. "Just a Little Bit of You" umekuwa wimbo mkali kabisa na maarufu kwa upande wa nyimbo za Michael alizoimba akiwa kama msanii wa kujitegemea katika kipindi chake cha miaka mitatu, kwa kushika #23 kwenye chati za U.S. Pop Singles na #4 kwenye chati za Soul Singles. Wimbo ulitayarishwa na Edward Holland, Jr..

“Just a Little Bit of You”
“Just a Little Bit of You” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Forever, Michael
Imetolewa 1975
Muundo 7"
Imerekodiwa 1974
Aina Soul
Studio Motown Records
Mtunzi Brian Holland
Edward Holland, Jr.
Mtayarishaji Brian Holland
Edward Holland, Jr.
Hal Davis
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"We're Almost There"
(1975)
"Just a Little Bit of You"
(1975)
"Ease on Down the Road"
(1978)

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Just a Little Bit of You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.