Justified ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji Justin Timberlake. Albamu hii inawahusisha wanamuziki wengine kama Timbaland, Clipse, Bubba Sparxxx, na Janet Jackson. Albamu hii ilishinda tuzo mbili za Grammy Award kwenye sherehe ya 2004 Grammy Awards mjini Los Angeles, California. Albamu hii iliuza zaidi ya nakala milioni tisa kote duniani.[1] Albamu hii ilishinda tuzo la Best International Album kwenye sherehe ya 2004 Brit Awards.

Justified
Justified Cover
Kasha ya albamu ya Justified.
Studio album ya Justin Timberlake
Imetolewa 1 Novemba 2002 (2002-11-01)
Imerekodiwa 17 Mei 2002 - 26 Agosti 2002
Aina pop, R&B
Urefu 63:17
Lugha Kiingereza
Lebo Jive, Zomba
Mtayarishaji The Neptunes, Timbaland, Brian McKnight, Claus Norreen, The Underdogs, Scott Storch (co-producer)
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Justin Timberlake
Justified
(2002)
FutureSex/LoveSounds
(2006)
Single za kutoka katika albamu ya Justified
  1. "Like I Love You"
    Imetolewa: Agosti 2002
  2. "Cry Me a River"
    Imetolewa: 17 Desemba 2002
  3. "Rock Your Body"
    Imetolewa: Machi 2003
  4. "Señorita"
    Imetolewa: 2 Septemba 2003

Nyimbo zake hariri

No. JinaMtunzi (wa)Producer(s) Urefu
1. "Señorita"  Chad Hugo, Pharrell WilliamsThe Neptunes 4:54
2. "Like I Love You" (featuring Clipse)Hugo, WilliamsThe Neptunes 4:43
3. "(Oh No) What You Got"  Tim MosleyTimbaland 4:31
4. "Take It from Here"  Hugo, WilliamsThe Neptunes 6:14
5. "Cry Me a River" (featuring Timbaland)Mosley, StorchTimbaland, Scott Storch 4:48
6. "Rock Your Body" (featuring Vanessa Marquez)Hugo, WilliamsThe Neptunes 4:27
7. "Nothin' Else"  Hugo, WilliamsThe Neptunes 4:59
8. "Last Night"  Hugo, WilliamsThe Neptunes 4:47
9. "Still on My Brain"  Harvey Mason, Jr., Damon ThomasThe Underdogs 4:35
10. "(And She Said) Take Me Now" (featuring Janet Jackson)Mosley, StorchTimbaland, Scott Storch 5:31
11. "Right for Me" (featuring Bubba Sparxxx)MosleyTimbaland 4:30
12. "Let's Take a Ride"  Hugo, WilliamsThe Neptunes 4:44
13. "Never Again"  Brian McKnightBrian McKnight 4:34
Bonus Tracks
# JinaMtunzi (wa)Producer(s) Urefu
14. "Worthy Of" (Japan, U.K., Australia Bonus)Ivan Barias, Carvin Haggins, Valvin Roane, Frank Romano  4:09
15. "Take Away Your Love (Why, When, How?)" (iTunes Bonus)Anthony Dixon, Michael B James, Anthony Kelii NanceDre & Vidal 3:59

Wafanyi kazi hariri

Marsha Ambrosius – Vocals (bckgr)
  • Damen Bennett – Flute
  • David Betancourt – Assistant Engineer
  • Bubba Sparxxx – Rap
  • Clipse – Rap
  • Andrew Coleman – Engineer
  • Vidal Davis – Percussion
  • Eddie DeLena – Engineer
  • Jimmy Douglass – Mixing
  • Nathan East – Bass
  • Omar Edwards – Keyboards
  • Serban Ghenea – Mixing
  • Larry Gold – Conductor, String Arrangements, String Conductor
  • Dabling Harward – Engineer
  • Chad Hugo – Producer, Instrumentation
  • Janet Jackson – Vocals
  • Paul James – Hair Stylist
  • Bernard Kenny – Guitar
  • Steve Klein – Photography
  • David Lipman – Creative Director
  • Vanessa Marquez – Vocals
  • Carlos "Storm" Martinez – Assistant Engineer
  • Harvey Mason, Jr. – Producer
  • Harvey Mason, Sr. – Producer
  • George "Spanky" McCurdy – Drums
  • Brian McKnight – Producer, Vocal Arrangement, Instrumentation
  • Bill Meyers – Conductor, String Arrangements
  • Steve Penny – Engineer
  • Dave Pensado – Mixing
  • Bill Pettaway – Guitar
  • Arianne Phillips – Stylist
  • Herb Powers – Mastering
  • Jimmy Randolph – Digital Editing, Pro-Tools
  • Tim Roberts – Assistant Engineer
  • Senator Jimmy D – Engineer
  • Mary Ann Souza – Assistant Engineer
  • Steamy – Assistant Engineer
  • Scott Storch – Clavinet, Producer, Coordination
  • Damon Thomas – Producer
  • Timothy Moseley – Vocals, Vocals (bckgr), Producer, Mixing
  • Justin Timberlake – Vocals (bckgr), Vocal Arrangement
  • Thaddeus T. Tribbett – Bass
  • Tye Tribbett & G.A. – Vocals (bckgr)
  • Charles Veal – Strings
  • Tommy Vicari – Engineer, String Engineer
  • Marla Weinhoff – Set Design
  • Pharrell Williams – Vocals, Producer, Vocal Arrangement, Instrumentation
  • Ethan Willoughby – Assistant Engineer
  • Chris Wood – Engineer
  • Benjamin Wright – Conductor, String Arrangements

Chati hariri

Chati[2] Namba Thibitisho Mauzo
Australian ARIA Albums Chart 9 3× platinum[3] 210,000[4]
Austrian Albums Chart 33 Gold[5] 15,000[6]
Belgian Walloon Albums Chart 8 Gold[7] 25,000[8]
Belgian Flemish Albums Chart 10
Canadian Albums Chart[9] 3 2× platinum[10] 200,000[11]
Danish Albums Chart 4 Platinum[12] 30,000[13]
Dutch Albums Chart 4 2× platinum[14] 160,000[8]
European Top 100 Albums n/a Platinum[15] 1 million[16]
Finnish Albums Chart 7
French Albums Chart 30 Gold[17] 210,500[18]
German Albums Chart[19] 11 Platinum[20] 300,000[21]
Hungarian Albums Chart[22] 36
Italian Albums Chart[23] 47
New Zealand RIANZ Albums Chart 5 Platinum[24] 15,000[25]
Norwegian Albums Chart 9
Swedish Albums Chart 21 Gold[26] 20,000[27]
Swiss Albums Chart 22 Platinum[28] 40,000[28]
UK Albums Chart[29] 1 5× platinum[30] 1.8 million[31]
U.S. Billboard 200[9] 2 4× platinum[32] 4.5 million[33]
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums[9]

Marejeo hariri

  1. Reuters - IMG Signs Justin Timberlake for Worldwide Endorsement Representation. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-17.
  2. Hit Parade (2002). European charts. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  3. Australian Recording Industry Association (2007). ARIA Charts — Accreditations. aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  4. Australian Recording Industry Association. Criteria. aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  5. International Federation of the Phonographic Industry — Austria (28 Oktoba 2003). Austrian certification (search). ifpi.at. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  6. International Federation of the Phonographic Industry — Austria. Criteria (PDF). ifpi.at. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  7. International Federation of the Phonographic Industry — Belgium (26 Julai 2003). Belgian certification. ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  8. 8.0 8.1 Recording Industry Association of Japan (2005). Standard for Certifying Awards of Countries (PDF). riaj.or.jp. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  9. 9.0 9.1 9.2 Billboard charts. Allmusic (2002). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-12-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  10. Canadian Recording Industry Association (22 Julai 2003). Canadian certification (search). cria.ca. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  11. Canadian Recording Industry Association. Criteria. cria.ca. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-11-24. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  12. NVPI (Week 40, 2003). Danish certification. hitlisterne.dk. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  13. International Federation of the Phonographic Industry — Denmark (2003). Criteria. ifpi.dk. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  14. NVPI (2003). Dutch certification (search). nvpi.nl. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-02-16. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  15. International Federation of the Phonographic Industry (2003). IFPI Platinum Europe Awards. ifpi.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-11. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  16. International Federation of the Phonographic Industry. Criteria. ifpi.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-01-20. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  17. Syndicat National de l'Édition Phonographique (19 Novemba 2003). French certification. disqueenfrance.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-22. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  18. French sales. fanofmusic.free.fr (2005). Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  19. German Albums Chart (Search). charts-surfer.de (2002). Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  20. International Federation of the Phonographic Industry — Germany (2003). German certification. musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  21. International Federation of the Phonographic Industry (2002). Criteria (PDF). musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  22. Hungarian Albums Chart. mahasz.hu. Iliwekwa mnamo 2009-12-03.[dead link]
  23. Italian Albums Chart (Search). charts-surfer.de (2002). Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  24. Recording Industry Association of New Zealand (30 Novemba 2003). New Zealand certification (search). rianz.org.nz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  25. Recording Industry Association of New Zealand. Criteria. rianz.org.nz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-14. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  26. International Federation of the Phonographic Industry — Sweden (2004). Swedish certification (PDF). ifpi.se. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.[dead link]
  27. International Federation of the Phonographic Industry — Sweden. Criteria. ifpi.se. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-27. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  28. 28.0 28.1 HitParade (2003). Swiss certification. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  29. Every Hit (Januari 2003). UK Albums Chart. everyhit.com. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  30. British Phonographic Industry (21 Novemba 2003). U.K. certification. bpi.co.uk. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-02-20. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  31. Bill Harris. Queen rules - in album sales. Toronto Sun. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  32. Recording Industry Association of America (5 Agosti 2003). U.S. certification (search). riaa.com. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.
  33. Keith Caulfield (11 Septemba 2006). Born 'Sexy'. Billboard magazine. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-12-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-15.