Kabarnet ni mji wa magharibi mwa Kenya, kaunti ya Baringo, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Barabara Iten-Kabarnet.


Kabarnet
Nchi Kenya
Kaunti Baringo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 27,278

Mji upo mita 1,815 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Una wakazi 27,278 (2009).

Kabarnet ni kata ya eneo bunge la Baringo ya Kati[1].

Tanbihi hariri