Kairuan
Kairuan (pia Kairouan au Al Qayrawān) ni mji mkuu wa Wilaya ya Kairouan nchini Tunisia. Mji huo umepokewa na UNESCO katika orodha ya Urithi wa Dunia.
Mji ulianzishwa na Wamuawiya baada ya uenezi wa Waarabu Waislamu mnamo mwaka 670. [1] Katika kipindi cha Khalifa Mu'awiya (661-680) ulikuwa kituo muhimu cha usomi wa Kiislamu wa Kisunni na ujifunzaji wa Qur'ani [2] na hivyo kuvutia Waislamu wengi kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu. Hadhi yake ilipitwa tu na Makka, Madina na Yerusalemu. Msikiti mtakatifu wa Uqba uko katika mji huo. [3]
Mnamo 2014, jiji lilikuwa na wakazi wapatao 187,000[4]..
Picha za Kairuan
hariri-
Msikiti wa Bandari ya Trois
-
Msikiti Mkubwa usiku
-
Remparts en mwali
-
Kituo cha Kairouan-Ville
-
Souk ya Kairouan
-
Hoteli Tunisia
-
Piscines des Aghlabides
-
Salat ya Tarawih katika Msikiti Mkuu
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Nagendra Kr Singh, International encyclopaedia of Islamic dynasties. Anmol Publications PVT. LTD. 2002. page 1006
- ↑ Luscombe, David; Riley-Smith, Jonathan, whr. (2004). The New Cambridge Medieval History, Volume 2; Volume 4. Cambridge University Press. uk. 696. ISBN 9780521414111.
- ↑ Hutchinson Encyclopedia 1996 Edition. Helicon Publishing Ltd, Oxford. 1996. uk. 572. ISBN 1-85986-107-5.
- ↑ Recensement de 2014 (Institut national de la statistique) Archived 2014-10-29 at the Wayback Machine
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi ya Kairuan
- Kairouan, tourismtunisia.com
- Kairouan World heritage Site, whc.unesco.org
- Kairouan University
- Al-Qayrawan, muslimheritage.com
- Kairwan, jewishencyclopedia.com
- WorldStatesmen-Tunisia
- KAIROUAN, The Capital of Islamic Culture
- Panoramic virtual tour of Kairouan medina Ilihifadhiwa 30 Julai 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kairuan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |