Kaizari Maxentius

Marcus Aurelius Valerius Maxentius (takriban 27828 Oktoba, 312) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia 28 Oktoba, 306 hadi kifo chake. Alimfuata Constantius Chlorus.

Sanamu ya kichwa cha Kaizari Maxentius

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maxentius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.