Kakira ni mji ulio katika mkoa wa Mashariki mwa Uganda pia mahali pa makao makuu ya kimataifa ya kikundi cha Madhvani.

Ramani ya eneo la Kakira Uganda
majira nukta (0 ° 30'13.0 "N, 33 ° 16'57.0" E (Latitude: 0.503611; Longitude: 33.282500))

Mahali ilipo

hariri

Kakira inapatikana katika wilaya ya Jinja ambapo ni takriban kilomita 14 sawa na maili 9 umbali kutokea mashariki mwa jiji la Jinja kupitia barabara kuu ya Iganga.[1] ikiwa na majira nukta (0 ° 30'13.0 "N, 33 ° 16'57.0" E (Latitude: 0.503611; Longitude: 33.282500)).[2]

Idadi ya watu

hariri

Kulingana na takwimu ya sensa ya kitaifa mnamo mwaka 2014 idadi ya watu eneo la Kakira ni takriban 32,819.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Road Distance Between Jinja and Kakira With Interactive Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kigezo:Google maps
  3. UBOS, . (29 Novemba 2014). "The Population of The Regions of the Republic of Uganda And All Cities And Towns of More Than 15,000 Inhabitants". Citypopulation.de Quoting Uganda Bureau of Statistics (UBOS). Iliwekwa mnamo 27 Februari 2015. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)