Kalangali ni kata ya Wilaya ya Itigi katika Mkoa wa Singida, Tanzania.

Upande wa kaskazini inapakana na kata ya Mitundu, upande wa kusini inapakana na kata ya Mwamagembe, upande wa mashariki inapakana na hifadhi ya wilaya ya Itigi na upande wa magharibi inapakana na kijiji cha Kiyombo, kata ya Kipili, wilaya ya Sikonge, mkoa wa Tabora.

Kata ina jumla ya vijiji vitatu: kalangali, Tulieni na Mnazimmoja.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 9,081 [1].

Shughuli zao ni kilimo, ufugaji na zao la nyuki.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Itigi - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Aghondi | Idodyandole | Ipande | Itigi Majengo | Itigi Mjini | Kalangali | Kitaraka | Mgandu | Mitundu | Mwamagembe | Rungwa | Sanjaranda | Tambukareli


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kalangali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.