Kalkidan Gezahegne

Kalkidan Gezahegne (amezaliwa 8 Mei 1991)[1] ni mwanariadha wa umbali wa kati wa Bahrain ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 1500. Aliwakilisha Ethiopia kabla ya kupata uraia wa Bahrain mwaka 2013.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Kalkidan GEZAHEGNE | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  2. Taylor Dutch (2021-10-04). "Bahrain's Kalkidan Gezahegne Breaks the World Record in the 10K, Running 29:38". Runner's World (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  3. "Kalkidan GEZAHEGNE". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.